Mfumo Mpya wa Kibiashara

Anzisha Duka Lako la Mabando Mtandaoni

Wape wateja wako wepesi wa kununua mabando kupitia subdomain yako ya kipekee. Simamia bei, angalia mabando, na pokea oda WhatsApp kiurahisi kabisa.

Ingia au Tafuta Duka la Reseller

.localhost:8000

Kumbuka: Kama tayari umesajiliwa, andika jina lako hapo juu na ubonyeze kitufe.

Subdomain Yako Mwenyewe

Utapata link yako ya kipekee kama vile reseller.bando.co.tz ili wateja wako wakufikie kirahisi na duka lionekane la kitaalamu.

Dashboard Kamili

Uwezo kamili wa kubadilisha bei za mabando, kuongeza mabando mapya, kufuta yaliyopitwa na wakati na kuboresha ujumbe na namba yako ya malipo.

Direct WhatsApp Orders

Mteja anapochagua bando, mfumo unamuelekeza moja kwa moja kwenye namba yako ya WhatsApp akiwa na oda yake, na wewe unampa huduma.

Gharama Nafuu za Uendeshaji

Lipia kulingana na matumizi bila mikataba migumu.

Kifurushi Maarufu

SaaS Reseller Pro

TSH 10,000/ mwezi
Jiunge Sasa Hapa
Andika jina la duka kwanza!